Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

Mwisho wa siku utamuona naye yupo kwenye kongamano la wanawake wasiolewa.
Hahahaha...
Hawa mama zetu kazi ipo, mara nyingi tupo mstari wa mbele kuwalaani baba zetu, ila ukifuatilia kwa ndani mara zote utakuta chimbuko la matatizo yao ni kina mama, tatizo mtoto washindwa kukaa upande wa baba sababu wamuonea huruma mama, ila ni issue..
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana

I like you
 
furaha ya mwanadamu anayo yeye mwenyewe,sio kwa mtu mwingine......na maisha ni kuchagua..
hapo ni mpambano wa papuchi yako na hisia zako...mshkaji wala humkomoi....
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
How did u feel the premier de libolo ?
 
Hapo haumkomoi yeye bali ni sehemu za siri zako ndio zinakomolewa na ukiona mmeo bado habadiliki ili imuume sana utoe na tigo kabisa
 
Umemfundisha mara ngapi kwa vitu usivyo vipenda kutoka kwake. Hapo ndipo imani ya kumwamini mwanamke hushuka mpaka 0% hata kama niwazazi wetu. Pole sana
 
Hahahaha...
Hawa mama zetu kazi ipo, mara nyingi tupo mstari wa mbele kuwalaani baba zetu, ila ukifuatilia kwa ndani mara zote utakuta chimbuko la matatizo yao ni kina mama, tatizo mtoto washindwa kukaa upande wa baba sababu wamuonea huruma mama, ila ni issue..
Ni kweli ndugu. Ila mtoa uzi akumbuke wala hamkomoi bwana wake bali yy mwenyewe. Ila mjinga ndiyo atafikiri anamkomoa. Mwili ni wake K ni yake kwahiyo akipata ukimwi au mimba ni yy.
Anamuita boya ila akipata mimba huko anamsingizia huyo anayeimuita boya. Sisi wanaume huwa tunatabia moja matata sana.
Ukiona mwanamke haeleweki wala hatuna mpango wa kuoq bali wa kula papuchi siku tukitaka kuoa tunavuta kitu kipya tunaweka ndani.
Atamkomoaje wakati wanawake wapo wengi mtaani?
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
unakuaje na mtu mjinga?We mwanamke malaya na mjinga mwenyew na unajikomoa mwenyew na litutu lako mithili ya mfereji wa maji taka.Shameless woman!!!!
 
Ni kweli ndugu. Ila mtoa uzi akumbuke wala hamkomoi bwana wake bali yy mwenyewe. Ila mjinga ndiyo atafikiri anamkomoa. Mwili ni wake K ni yake kwahiyo akipata ukimwi au mimba ni yy.
Anamuita boya ila akipata mimba huko anamsingizia huyo anayeimuita boya. Sisi wanaume huwa tunatabia moja matata sana.
Ukiona mwanamke haeleweki wala hatuna mpango wa kuoq bali wa kula papuchi siku tukitaka kuoa tunavuta kitu kipya tunaweka ndani.
Atamkomoaje wakati wanawake wapo wengi mtaani?
Imetusikisha sana kwamba kuna kina dada wanafanya hivi! Kweli tumefikia pabaya sana, inatisha..
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Nimeshawika kuchangia uzi huu baada ya kusoma kule kwa Karen na baba yake mdogo. Kwa kifupi huna akili. kuchepuka sio dawa. Unachotakiwa ni kumueleza uliye naye hisia zako, akushike wapi na akufanyie nini ili uridhike. Kama wewe umeshindwa kukaa na wako mkayajenga basi hata mwanao mwache apigwe dudu na baba yake mdogo. Inaonekana hii tabia karithi kwako. Na huyo baba yake mdogo keshamtafuna vya kutosha ila wewe amekudanganya sababu ni tabia aliyorithi toka kwako.
 
Popote ulipo mleta mada pokea pole zangu, sijui akili gani umetumia, au busara au hekima. Kwa kweli huyo jamaa aliyekuoa amepata hasara kubwa maishani. Watu wengine mnasikitisha sana, na sijui una ajenda gani moyoni kwa sababu ulichokifanya ni siwezi kutafuta jina baya la kuita.

Mungu akihurumie, una roho ambayo inakutafuna pasipo kijijua, halafu unafurahia. Pole sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom