Jana nimebeba TV, laptop, pasi, vitana, vijiko, n.k kwa niliemdai, leo kanirudishia pesa, pesa ya ada ya mtoto ilifeli

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,030
Uvumililivu ulinishinda kiukweli.

Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.

Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status akanizimia, nyumbani kwake akaanza kurudi usiku kunikwepa, n.k

Siku zote mtu nayemkopa mara nyingi inabidi niwe namjua na niwe na muweza ikija kutokea ubaya.

Jana, nimefikiria sana mambo ya ada ya mwanangu bila mafanikio nisijue pa kuitoa.

Nilichofanya nikampigia simu jirani wa nayemdai aniambie kama yupo, akasema yupo, huyo nikachukua kigari changu mpaka kwa jamaa.

Yani nimefika kwake sura ya mbuzi.

Akaanza maneno mimi nafanya vitendo, nilichukua tv (samsung inaenda kwenye laki 7 huko), laptop yake (ni hizi macbook zinaenda hadi milion 2), pasi, vikombe, sahani za udongo, kingamuzi, blanketi, n.k

Usiku ikawa anaomba msamaha kanicheleweshea na maneno mengi.

Leo asubuhi saa tano, nimepata muamala wangu vizuri kabisa, nikamwambia aje achukue takataka zake.

Kaja home kachukua ishu zake kaondoka, jioni ndio kaniomba msamaha wa kunizungusha mi nimemsamehe ila siji kusahau.

Shubamiti
 
Hongera sana na shukuru umepata mstaarabu maana kuna wale wameru wapenda kesi wangeshafungua mashtaka ya uvamizi na kuporwa na pengine angeongezea hata visivyohusika. Mahakamani asingekataa kuwa ulimsaidia pesa na isingehalalisha ulichokifanya. Usimkope mtu 2021, msaidie kama unaweza. Ukimkopa usiweke kwenye malengo ya kulipwa, akikulipa huna cha kupoteza.
 
Dai la haki
 
Uvumililivu ulinishinda kiukweli.

Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.

Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status akanizimia, nyumbani kwake akaanza kurudi usiku kunikwepa, n.k

Siku zote mtu nayemkopa mara nyingi inabidi niwe namjua na niwe na muweza ikija kutokea ubaya.

Jana, nimefikiria sana mambo ya ada ya mwanangu bila mafanikio nisijue pa kuitoa.

Nilichofanya nikampigia simu jirani wa nayemdai aniambie kama yupo, akasema yupo, huyo nikachukua kigari changu mpaka kwa jamaa.

Yani nimefika kwake sura ya mbuzi.

Akaanza maneno mimi nafanya vitendo, nilichukua tv (samsung inaenda kwenye laki 7 huko), laptop yake (ni hizi macbook zinaenda hadi milion 2), pasi, vikombe, sahani za udongo, kingamuzi, blanketi, n.k

Usiku ikawa anaomba msamaha kanicheleweshea na maneno mengi.

Leo asubuhi saa tano, nimepata muamala wangu vizuri kabisa, nikamwambia aje achukue takataka zake.

Kaja home kachukua ishu zake kaondoka, jioni ndio kaniomba msamaha wa kunizungusha mi nimemsamehe ila siji kusahau.

Shubamiti

Angejua Haki Zake ungekuwa unahaha kutafuta mzamana
 
Back
Top Bottom