Jana kwa mara ya kwanza nmeulizwa....

Kama amekuomba msamaha na amejirudi oa tu ndugu yangu, wadada wa sikuhizi hakuna kuomba msamaha, ukizingua anasepa zake na hawana shida ya kuolewa!

Hili nakumbia wazi bila kuficha! Hakuna mambo ya kuombana misamaha. Na huwa nashangaa mwanaume unanuna? Why? Ushenzi tu usiokuwa na maana! Nyauuu wanunaji wote
 
Kununa muhimu mkuu siunaona ngoma imejibu
 
We jamaa nimesoma post yako nikairudia mara tatu. Hakuna penzi / huba linakua-ga tamu kama hivo ~ mlizinguana kwa muda fulani kisha mkayajenga na sasa ndio mmekutana tena kila mmoja kampania mwenzie aaaaahhh! kudadadeq mnachapana miti hadi chumba kizima kijae harufu ya kuashiria kuwa humu ndani watu wametiana hatari hatari maa'ke kuna zile moment unambeba bibie wako kwa mikono yako kisha unazunguka naye chumba chote kila angle huku ukichapa miti ya aina yake aseeeee
 
Back
Top Bottom