Jana kulikuwa na nini hadi matangazo ya mpira yalikatishwa?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,154
9,353
Salamu,
Jana mida ya Saa 1 hivi nikiwa live TBC Radio,nikisikiliza matangazo ya mpira wa Simba na RUVU, MATANGAZO YALIKATIZWA GHAFLA NA KUJIUNGA NA IKULU ! Kwa kuwa mimi TBC huwa nasikiliza mpira pekee ,nilijofanya nikuhamia kituo kituo kingine ,na kuendelea na uhondo!
Ila asubuhi hii uzalendo umenirejea kidogo...nikajiulize hivi kulikuwa na nini Ikulu,kila naye muuulize hajui ! Nikaona nije huku kwenye kisima cha habari ...nijue Mheshimiwa Mtukufu Rais ,Mpendwa alikuwa na ujumbe gani mida hiyo!?/
 
Kulikua na Korosho
 
Simba walikuwa wanamuAMBER RUTTY mtu
hutakiwi kutangaza live utafungiwa na Tisiaraei
 
Tbc ina utahira kabisa aloo yani unakatisha matangazo ya mpira unaweka upuuzi wa jiwe kutafuta kiki. fwack
 
Back
Top Bottom