Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kusini.

Status
Not open for further replies.

zoy

Senior Member
Mar 21, 2013
135
29
Wadau namsikia waziri wa mambo ya ndani ndugu Emanuel Nchimbi kwenye TBC Taifa akiwahutubia watu wa Songea mjini kuwa kuna sms zinasambazwa nchini juu ya kuanzishwa kwa jamuhuri ya tanzania kusini.

Naomba nimnukuu alivyoisoma hiyo sms na inavyosema ."KUANZIA JIWE LA MZUNGU LILILOPO KILWA MPAKA MSAMBATI HADI SONGEA NI ENEO KUBWA KULIKO RWANDA, BURUNDI, MALAWI NA VISIWA VYA COMMORO. KWANINI SISI WANA KUSINI TUKUBALI KUNYANYASWA NA KUTENGWA KWA MDA MREFU? TUUNGANE NA KUDAI JAMUHURI YETU YA TANZANIA KUSINI MBONA SUDAN WAMEWEZA? TUMA SMS HII KWA WATU WENGI ZAIDI" mwisho wa kumnukuu.

Maswali ya kujiuliza. Ni kwanini tufikie huku? Serikali inachukua hatua gani kwa hili? Je kwanini sms kama hizi zinaruhusiwa kusambazwa? TCRA wapo wapi?
 
Ni haki yao, acheni wadai chao viongozi wanadharau sana, acha moto uwake!
 
A move to go" well done SOUTHERN TANZANIA REPUBLIC

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Chezea tiss wewe? hii ishu isha tengenezwa na inauziwa chama fulani cha kisiasa, kisha kinafungiwa. subiri muone.
 
Huu ndiyo uhuru wa kutoa mawazo. Klichobaki ni elimu ya uraia na siyo kuwakamata na kuwapiga.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kila anayetafuta hupata hata wanaotuma sms watakipata tu wanachokitafuta na za kwao zinahesabika.
 
Huu ndiyo uhuru wa kutoa mawazo. Klichobaki ni elimu ya uraia na siyo kuwakamata na kuwapiga.
akili yako yakawaida sana sijui unakula nini.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

kama ungekuwa unautaifa ndani ya moyo wako usingesema maneno usemayo.
 
Wadau namsikia waziri wa mambo ya ndani ndugu Emanuel Nchimbi kwenye tbc taifa akiwahutubia watu wa Songea mjini kuwa kuna sms zinasambazwa nchini juu ya kuanzishwa kwa jamuhuri ya tanzania kusini.
Naomba nimnukuu alivyoisoma hiyo sms na inavyosema ."KUANZIA JIWE LA MZUNGU LILILOPO KILWA MPAKA MSAMBATI HADI SONGEA NI ENEO KUBWA KULIKO RWANDA, BURUNDI, MALAWI NA VISIWA VYA COMMORO. KWANINI SISI WANA KUSINI TUKUBALI KUNYANYASWA NA KUTENGWA KWA MDA MREFU? TUUNGANE NA KUDAI JAMUHURI YETU YA TANZANIA KUSINI MBONA SUDAN WAMEWEZA? TUMA SMS HII KWA WATU WENGI ZAIDI" mwisho wa kumnukuu.
Maswali ya kujiuliza. Ni kwanini tufikie huku? Serikali inachukua hatua gani kwa hili? Je kwanini sms kama hizi zinaruhusiwa kusambazwa? Tcra wapo wapi?

Wako busy kujipanga na uchaguzi wa 2015 badala ya kukaa na wananchi na kusikiliza na KUZITATUA kero zao!!!!! Wakati mwingine huwa nafananisha akili za wanasiasa wetu na GOLD FISH-wana kumbukumbu fupi mno!!!!!! (sifa ya huyu samaki kila baaada ya sekunde 5 anasahau kila kitu na kuanza upya!!!!)
 
Watatumiwa sana na maadui wa TZ, wanalalea tu
Huyu Nchimbi naye kazi kulegeza macho tu utadhani kalewa kungu, sijui ndio inamfanya haoni maandishi
 
Muvi mpya hiyo

Serikali inatumia mbinu dhaifu kutatua tatizo gumu. Inatumia mbinu ile ile ya Mkoloni Divide and Rule kuwachonganisha Watanzania.
Sidhani kama kuna Watanzania wanaweza kukubaljana na ujumbe wa Sms kama kweli ipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom