Mimi nimesomea mambo ya secretary na nimeshafanya kaz katika taasisi ya fedha nikawa kama cashier kwa miaka 3 na miaka 2 nilikuwa secretar so naujuzi wa miaka 5 katika kazi, computer naijua vizuri sana.
m nahitaj secretary... Nipm kwa mawasiliano zaid