jamni kodi yangu, PAYE,VAT etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamni kodi yangu, PAYE,VAT etc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RealTz77, Oct 30, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yapo mambo fulani ambayo ukiyazingatia utapatwa na hasira au kupigana, hivi leo katika mitaa ya muhimbili nimeshuhudia gari ya serikali STK....Land cruiser VX.ilimleta either mke wa bosi au ndo bosi mwenyewe(alikuwa mwanamke alieletwa),mida ya saa tatu asubuhi aliposhuka mama gari haikuzimwa, ilikaa silence hadi saa nane mchana (13;57hrs) imgagine 5good hours bila sababu,driver yupo ndani anshuka anatembea anarudi and its a new car,kuna nani mwenye kulinda kodi zetu?ziende japo ktk maendeleo?je ni STK, STJ, ST ngapi leo hii zimekula cost kwa mtindo kama huu? Hakuna control ndani ya serekali? damn them!!. Imagine jambo kama hilo halafu tuseme govt haina hela,watoto wanakaa chini vitabu shida ,dawa shida duuh we are about to die
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Don't worry wanayo mafuta mengi sana...tena wakiishiwa hela, wanaweza omba wahisani wawachangie!
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Karibu TZ hii ndo bongo bana..kama gari jipya huenda 'alishauriwa' aliache sailensa asiizime zime ili engine 'izoee' !
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Dont say that NL!

  Unawaogopa hao wadudu.. mI NAWAMWAGIA SUMU!

  SHIIIT!!....DAMN THEM,...THIEVES-AT DAYLIGTH!, CORRUPTS...ILLEGAL HUMANS,...POVERTY CAUSERS...FYUUUUUUUUUUUP!

  At leas now iam OK!
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  pole sana Paka jimmy
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kodi zetu tunahitaji kuzisimamia wenyewe, hii thread ya 2009 lakini mambo hayajabadilika hadi leo 2011
   
 7. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kutozima gari sio ajabu. Nilihudhuria msiba fulani Kinyerezi mwaka huu. Akaja Mkurugenzi mkuu wa NHC. Tulikaa kama masaa 4 na gari lake halikuzimwa muda wote huo. Hata hivyo kama ni kupoteza mafuta basi mafuta mengi yanapotea kwenye foleni.
   
 8. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wekeni number za haya magari hadharani tuyashughulikie.
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kipindupindu hiyo ilikuwa ni hoja yangu....nitake radhi kwa kusema kile nilichotaka kusema..... WEKA NAMBA YA GARI.... japo hatuwezi juwa feedback yake lakini WE DARE TO TALK OPENLY...weka namba ...weka ushahidi bayana si wa kubuni tafadhali
   
Loading...