Jammeh asema Mungu pekee ndiye atamwondoa madarakani.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
3,852
2,000
Rais wa Gambia yahaya jammeh aliyeshindwa katika uchaguzi mwanzoni mwa mwezi huu amesisitiza kuwa hataachia ngazi na kuondoka madarakani.
Jammeh amesisitiza licha ya kushindwa na Adama Barrow hana mpango wa kuachia madaraka, pia kiongozi huyo amelaani vikali jumuia ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi (ECOWAS) kwa kujaribu kumshinikiza kukabidhi madaraka kwa njia ya amani January 18 mwakani.
Amesema kuwa kamwe hilo halitatokea , "Mimi si muoga" haki yangu haiwezi kutishiwa na kukiukwa huu ndio msimamo wangu na hakuna mtu anaeweza kuninyima ushindi huu isipokua mwenyezi Mungu tu' alidai bwana jammeh ambae aliwahi kutangaza kutibu virusi vya ukimwi.
Note: bangi mbaya sana.
 

Ndahani

JF-Expert Member
Jun 3, 2008
16,804
2,000
Huyo jamaa ngoja aondoke ndio ajue ukubwa wa maneno anayoyaongea. Toka lini nchi ikawa Mali binafsi ya mtu?
 

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Tatizo waafrika ni waoga mno wanaweza muacha tu.... Tz ikitokea tafadhari mniachie huyo Pomb@ ....sitowaangusha kabisa....yaani najichukulia point 6 mapemaaaa yaani home and away......kiulainiiiii
 

Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
234
500
viongozi wengi wa bara la giza hasa wenye
ngozi ya giza ni kama hawajitambui vile?
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,642
2,000
The skeptic in me didn't believe a single syllable that came out of that guy's mouth when he 'conceded' the election.
 

chigga2

Senior Member
Mar 22, 2016
191
225
GOD ALREADY LEFT AFRICA....NOW I UNDERSTAND WHY BRUCE WILLIS SAY IN HIS MOVIE NAMED TEAR OF THE SUN...HE SAY THAT WORD AFTER SEEING AFRICA KILL ONE ANOTHER AND HE SAY THAT.....
 

Password

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
779
1,000
GOD ALREADY LEFT AFRICA....NOW I UNDERSTAND WHY BRUCE WILLIS SAY IN HIS MOVIE NAMED TEAR OF THE SUN...HE SAY THAT WORD AFTER SEEING AFRICA KILL ONE ANOTHER AND HE SAY THAT.....
Hahahah the priest told the leaving villagers that "may god be with you" and Bruce wills said god already laft Africa I love the scene.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom