kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,081
- 907
Salaam,
Toyota IST old model, ilipata ajali. Airbags zikablast. Pia front seat belts zilijam. Yaani airbags na mikanda vilifanya kazi zake ipasavyo.
Nini kifanyike ili kurejesha 'safety level' iliyokuwepo... Je, kureplace airbags & seat belts tu inatosha? ama kuna parts zingine zinahitaji replacement?
Airbags used (za mtumba) zilizopo kwa wauza spea, ni rahisi kuhakiki ubora wake kwa macho tu kwa kutazama kwamba hizi ni nzima.
Je kuhusu seat belts za mtumba, nihakiki vipi ubora wake? Inasemekana kuna magumashi yanafanyika kwenye jammed seatbelts, wabongo wanazifanyia usanii mikanda iliyopata ajali, kisha wanauza kama mtumba. Ikija kupata crash, mkanda haubani (ni useless).
Replacement ya seatbelts (kuweka hizi za mtumba), nihakiki vipi uzima/ubora wake?