Jamiiforus for Mobile phones imeenda wapi?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Nilikuwa nikiingia jamiiforums kwa simu yangu ilikuwa inaipata moja kwa moja lakini wakati ule wa uchaguzi mkuu ambapo trafic ilikuwa kubwa sana ilipotea hewani. Kwa sasa inabidi nichague PC mode ya jamiiforums ili niweze kuperuzi kwenye simu yangu.

Hili ni tatizo langu tu au kuna wengine linawakuta?
 
Hata mimi nina tatizo hilo. Lilijibiwa lakini kwenye simu hakuna option ya kufanya hicho walichoelekeza. Nimenyamaza kinyonge ingawaje ni kama samaki nje ya maji kwani inabidi nikutana na JF baada ya massa 12/15 hivi ninaporudi nyumani
 
Back
Top Bottom