JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

Hongera sana Maxence Melo and the entire JF team and members kwa tuzo hii adhimu.

Endelea kupambana na majitu yenye roho mbaya yanayotamani JF ife ili yaendelee kutafuna mali za umma na kujaza matumbo yao makubwa kama pakacha bila kuhojiwa.

Mungu yupo upande wetu. Mungu akiwa upande wetu ni nani wa kutuhujumu? Hakuna.
 
Non sense! mehangaika na Melo wa watu kutunyamazisha humu jf lakini wapi,meshindwa kuwapata wana jf kwa sababu uwezo wenu wa kuwapata ulifika mwisho wa kunukuu ikabidi muhangaike na Melo wa watu huku members tukichana ukweli life kwa maovu na dhuluma inayofanywa na serikali hii ya awamu ya tano chini ya ccm ovu
mkuu 900 Inapendeza zaidi achana na hilo tutusa la Lumumba litakuumiza kichwa. Hilo ni moja ya misukule wanaotamani JF ife hata leo ili waendelee kutafuna vizuri rasilimali za taifa bila kuhojiwa. Mijitu mingine inaishi kwa kuwa ni dhambi kuua. Inaudhi sana I see!
 
Hongera JF.

Mods acheni ku ban watu kwa kutumia haki zao za kikatiba kusema ukweli kama "Magufuli is a country bumpkin".

Mkifanya hivyo, tuzo zote hizi zitakuwa hazina maana.
Wewe Ban tu !! teh teh teh:D:D :D :D :D :D :D

Hongera sana viongozi na mamodereta wote wa JF, wanachama wote wa JF pamoja na Kiranga wa JF
 
Wewe Ban tu !! teh teh teh:D:D :D :D :D :D :D

Hingera sana viongozi na mamodereta wote wa JF, wanachama wote wa JF pamoja na Kiranga wa JF
Mimi nishajiban mwenyewe, siitimizi tu ban yangu, kwa hiyo hakuna anayeweza kunipa ban.

Mtu akinipa ban atakuwa ananisaidia kuitimiza ban yangu tu.

You can't kill me, I was born dead - Big L
 
Sipati notification kwenye simu yangu na wadau wengi wanalalamikia hiyo hali naomba mlishughulikie hilo suala
 
Wale wote wanaofikiri freedom of speech ni njia ya kuja hapa JF na kukashifu wenzao waache mara moja upuuzi wao. JF haikuanzishwa ili kutumiwa na kikundi chochote kuharibu taswira ya Tanzania. Nafahamu wapo wale ambao wanafikiria kwamba hapa ndipo mahali pa kujificha na kuchafua wenzao, kumbukeni Serikali ina mkono mrefu, mtajaribu kujificha lakini wahenga walisema ''za mwizi 40'' haijalishi upo USA au Scandinavian countries.
Anzeni na Kigogo2014 kwanza msitishe watu JF.
 
Mmh.. Naomba niseme kweli ya Mungu mimi ni mlokole SIWAJUI
usingetanguliza Pre- MMh na kumalizia na SIWAJUI ningekubaliana na sentensi yako.Manake naona umeamua uwape upande wa heshima wasiyo stahiki ukijua kabisa kuna makinda ya ndege yaliosalia kupiga kelele nyingiii zisizo na maana.Na hata maana ile ya Jukwaa enzi zile watu Watu tunapalulana humu kwa hoja nzito nzito na zenye ushawishi kuliko sasa kupinga ovyo kutukana wengine humu ovyo ovyo. Hata huyo Max haoni sababau ya kuwa moderator makini wa kuhakikisha lugha za matusi hazina nafasi na kudhibiti matumizi mabaya ya lugha ya majadiliano kwa kutishia kuwafungia wenye nia mbaya ya kuchafua Stage.

Wako wapi watu makini waliokuwa wanajadiliana mambo mazito humu kwa USHAWISHI WA HOJA NA SI KWA USHAWISHI WA VIOJA. Tumegeuza Jukwaa kuwa sehemu ya KUWA PROVOKE walio KWENYE MAMLAKA ILI NAFSI ZETU ZIFURAHIE NA KUPATA PUMBAZO LA NAFSI NA KUJENGA CHUKI ISIYA NA FAIDA ZAIDI YA HASARA.

Nakumbauka mijadala mizito ya kukosoa, kujenga na hata kufurahisha na kuburudisha iliyokuwa inafanyika hadi usiku wa manane kwa nia njema KUJENGA.


Kumejaa MA ANT GOVERNMENT na ANT CCM as ANT CUF taja yote ata ANT MAENDELEO wako kedekede nk as if kuwa ANT Something ni kuwa Member Bora wa Jukwaa hili.Simuoni Max kusimama na kuonyesha njia wakati ana Muscles kibwena za kuhakikisha Jukwaa linaendeleza Utamaduni pia wa SISI kuwa Wazalendo wa TAIFA letu na kuheshimu Mamlaka licha ya kutokuwa wa Wafuasi wa Mlengo husika lakini HESHIMA ambayo ni zao la UAFRIKA linabaki pale pale.



 
Back
Top Bottom