JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

watendao haki
Utawala wetu unajisifu na unasifiwa kwa utendaji haki kwa kadiri ya uwezo na ufahamu wao,lakini siku zote shilgi ina upande iliolalia ambao huwa hauonekani, wana habari mara nyingi huzungumzia kule kulikolalia shilingi ambako wengi huwa hawaoni kwa kutazama tuu bila ya kupembua,hapo ndo watawala huona wameguswa,badala ya kujirekebisha au kukiri udhaifu na kujisahihisha ,wao wanageuka mbogo na kuanza mapambano na jeshi lisilo na silaha wala nguvu,Wanahabari nguvu yao ni kalamu na kamera tuuu
".WATAWALA WETU JIREKEBISHENI,NINYI NI BINADAMU HAMUEPUKI MAKOSA,ONDOENI VIKWAZO HII NI NCHI YETU SOTETUME WAPA DHAMANA YA UONGOZI KWA MUDA TUU SIO HATI MILIKI YA
 
Serikali hii yenye mkono mrefu kama unavyodai ambayo imeshindwa kumnasa Furher(aliyeibua uozo wa Oilcom na CUSNA Invstment) hadi ikaishia kumfungulia Melo kesi ya hovyo...

Waambie warefushe mkono zaidi watudake juu juu bila kumsumbua Max hata kidogo.

Time will tell.
 
Maxence Mello jina lako litaandikwa kwa wino wa dhahabu hasa baada ya nchi kupata ubatzo wa mara ya pili yaani kumtokomeza mkoloni mweusi
 
Back
Top Bottom