spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 6,012
- 15,491
Mkuu nakuja tu pm tumbembeleze03:26 am,,,, niko kumbembeleza mtoto
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakuja tu pm tumbembeleze03:26 am,,,, niko kumbembeleza mtoto
safi Khantwe naona upo lindoHabari yako mtu chake
Usingizi umepaalala kipenzi
Natafakari nipige viwili vya mwisho maana hali sio haliNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!