herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,962
- 3,189
Mungu mwaminifu, tutafika tuTena sio kwa hiyo hamu ulonayo..omba Mungu ufike hiyo tarehe
Mungu mwaminifu, tutafika tuTena sio kwa hiyo hamu ulonayo..omba Mungu ufike hiyo tarehe
Amen Nina Iman hiyo piaMungu mwaminifu, tutafika tu
12:04 lindo liko wazi...popoz wamelala
Pamoja Kamanda.
Usiwaze sana mkuu kupita kiasi.0326 nawaza maisha mpaka usingzi unakata
Kiongozi0148Hrs.
26.07.2021
Blue Monday
Jichanganye, punguza mawazo.0326 nawaza maisha mpaka usingzi unakata