Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,559
- 47,002
😂😂 Ntafanyaje sasa, wacha nijifariji. Hela zipo tu na haziishi, tutaziacha
Nataka nizikwe nazoNtafanyaje sasa, wacha nijifariji. Hela zipo tu na haziishi, tutaziacha
Tumejitahidi kwakweli, kifurushi changu nadhani kinakaribia kufika tamati... Niwaachie lindo wengine
Utasababisha vibaka wavunje kaburi, wahuni sio watu wazuri
Ngoja na mimi nilale aiseh, kulinda sio kazi ndogoTumejitahidi kwakweli, kifurushi changu nadhani kinakaribia kufika tamati... Niwaachie lindo wengine
Ni kazi ngumu, haya ulale salama
Watu watakua busy na weekendLindo la leo ni la watatu tu.
Kweli kabisaWatu watakua busy na weekend
Naingia zamu yangu saa 3:30 Anza kunikabidhi silaha za ulinzi mkuu.
Lenie upo? Ni mimi au wewe aliyekuwa ameadimika?😜Watu watakua busy na weekend