Tunaomba ufunge lindo mkuu05:28
Huu muda ni saa saba, kuna jilani yangu amekuja na Kuku wa kienyeji anamnyonyoa huko hadi kaniamsha usingiziniTunaomba ufunge lindo mkuu
nenda kamsaidie kazi ya kuanda huyo kukuHuu muda ni saa saba, kuna jilani yangu amekuja na Kuku wa kienyeji anamnyonyoa huko hadi kaniamsha usingizini
Nasubiri amalize nimuazime Kuku wake na miienenda kamsaidie kazi ya kuanda huyo kuku
nipo karibu tule papaiWale wanaokesha kama CNN mpoo
Ananyonyoa Kuku sahivi😳😳 duhHuu muda ni saa saba, kuna jilani yangu amekuja na Kuku wa kienyeji anamnyonyoa huko hadi kaniamsha usingizini
Eti jamani yaani Kuku yuapiga kelele hizo nimetamani nikachungulieAnanyonyoa Kuku sahivi😳😳 duh
Wow thank you mkuu! Afu napendaga! Enjoy😋nipo karibu tule papai
Mmh au ni mshirikina huyo! Kuku sahivi🤔Eti jamani yaani Kuku yuapiga kelele hizo nimetamani nikachungulie
pamoja. alafu fresh kutoka mtini. nimemaliza kuangalia series . nimekumbuka jioni niliona papai limeiva mtini.Wow thank you mkuu! Afu napendaga! Enjoy😋
watu wana siri nyingi.Mmh au ni mshirikina huyo! Kuku sahivi🤔
Kwahiyo usinambie umelifata huko mtini usiku huu! Hushindwi wewe😀😀pamoja. alafu fresh kutoka mtini. nimemaliza kuangalia series . nimekumbuka jioni niliona papai limeiva mtini.