Majira ya saa 5:28:07 nilipokea simu kutoka kwa sister yangu juu ya taarifa ya msiba wa Bibi yetu mpendwa (Bibi mzaa Baba).

Kwa sasa usingizi umekata, Najipanga kuwapa wazee taarifa mapema asubuhi, wakipata taarifa usiku huu tunaweza kuzua mengine.

Bibi alianza kuumwa zaidi ya wiki 2 zilizopita na alikuwa kwenye mashine ya Oxgen takriban siku15.

Alikuwa amelazwa Hospital ya Mloganzila.

Bilashaka atasafirishwa na kuzikwa Kirua Vunjo Moshi.
 
Pole sana mwananrindo
 
Pole mkuu inna lillahi wa ina ilahi rajiun
 
POLENI SANA WOTE MNAOHUSIKA NA MSIBA HUU MKUBWA. MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA AWAPE NGUVU NA STAHAMALA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MAJONZI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom