B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,383
Hua unatumaga text moja alafu unatoroka....0000
07.02.2021
Lindoni
Hua unatumaga text moja alafu unatoroka....0000
07.02.2021
Lindoni
0000
07.02.2021
Lindoni
E bana eeJamaa ameona akae karibu,akiwa mbali hasikii
Mafinga hiyo amaLeo npo lindo pande za ilongero
Rhumba mkuu, nimejaribu kushare video naona inanigomeaE bana ee
Wanagonga Rhumba au Raggae.
Nimetoka kuangalia movie ..kausingizi kwa mbaaliFanya kitu,
Either workout au soma softcopy yoyote.
Dah ladha zangu hizo,Rhumba mkuu, nimejaribu kushare video naona inanigomea
Siku ingine jaribu kitabu ata kama roho inagoma ivoivo utashangaa macho mazito.Nimetoka kuangalia movie ..kausingizi kwa mbaali
Wako vizuri kama wanagoma la Moses fan fan - Papa Lolo wakupigie.Rhumba mkuu, nimejaribu kushare video naona inanigomea
😀😀😀😀 Sawa nitajaribuSiku ingine jaribu kitabu ata kama roho inagoma ivoivo utashangaa macho mazito.
Ukicheki horror utalala kweli?Nimetoka kuangalia movie ..kausingizi kwa mbaali
Tena kama huna hobby ya vitabu ata dakika 20 huchukui. 😅😀😀😀😀 Sawa nitajaribu
Nilivyo muoga sitaweza lalaUkicheki horror utalala kweli?
Kahobby kapo kidogoTena kama huna hobby ya vitabu ata dakika 20 huchukui. 😅
Iko poa sana kiongoziDah ladha zangu hizo,
Na mimi nitapanda treni,
Ni-enjoy vibe ya safari na vyombo.
HahahaWako vizuri kama wanagoma la Moses fan fan - Papa Lolo wakupigie.
Pole MkuuUkiona hili box ujue kumekucha
View attachment 1696289
Hahaha, usiwe serious sana na movie me nikiona nazama sana na recall hii movie tu bhna.Nilivyo muoga sitaweza lala