elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 757
- 1,377
02:57
Leo nitakua lindoni, nimepamiss humu.
Nn wee babu tena?
Yupo mbona kuna siku nilimleta ilikuwa January ya mwaka huu.Heri ya mwaka mpya aisehhhhhh upo, Goddess ulimpegleka wapi
Unapeperusha bendera vizuri mzee.Hapana mkuu viongozi wapo wa humu
Yupo vizuri kwa kweli.Anatoboa huyo hatari
1:07Yupo vizuri kwa kweli.
Aisee kumbe upo...kitambo sanaSio kweli watu hawalindi siku hizi, wanajifanya wako busy na uchumi wa kati.
Habari za usiku KWA majira ya Dar.Napita pita kwa kuangali lindo
Ufukara na umasikini huo mkuu.03:55 nimeota ndoto nimelala nje upepo mkali na vumbi linantimkia nimeshtuka sana hii ina tafsiri gani wakuu?
Ufukara na umasikini huo mkuu.