Na kweli umekaza ya hela yote mamiloo......ila kama naona ushaanza kusinzia flan hvJeshi la mtu mmoja jombaa
Si bora ningekuwa na huo usingizi sasa..Na kweli umekaza ya hela yote mamiloo......ila kama naona ushaanza kusinzia flan hv
Mm nakuona hapo una mning'inio wa kutoshaSi bora ningekuwa na huo usingizi sasa..
Sina hata lepe jooo..
Wanawake tunaweza bila kuwezeshwa
12 mints left
Wew endelea kuniona mkuu hakuna namna.Mm nakuona hapo una mning'inio wa kutosha
We mwache namzoom tuDuh! Kaagiza mahindi ya kuchoma kisha kasinzia.
Safi mkuu.Mungu ni yule yule👏Aku! Mimi naenda Masjid, Adhana tayari.
KiuSidhani kama Ninahitaji kampan ya ghetto View attachment 1603567
Hahahaha kula vibe Rafiki watafunga wengineHivi lindo linafungwa saa ngapi wajuba....maaana hili vibe si la nchi hii
Safi sanaJeshi la mtu mmoja jombaa