Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,567
- 50,634
Nipe dakika tano nitakuwa nimeshafikaHahahaha, vzr sogea huku karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe dakika tano nitakuwa nimeshafikaHahahaha, vzr sogea huku karibu
Vzr ,nakuwekea na kahawa kabisaNipe dakika tano nitakuwa nimeshafika
Kashata ziko wapi?nimefika sikuoni mtu chakeVzr ,nakuwekea na kahawa kabisa
Nipo huku kibandani nachochea kuniKashata ziko wapi?nimefika sikuoni mtu chake
Mahindi ya kuchoma yapo?weka kuni nyingi nasikia baridi..nahitaji mahindi ya kuchoma rafiki yanguNipo huku kibandani nachochea kuni
Mahindi ya kuchoma, blanketi ya kutoa baridi vyote umepata ,sema kitu kingine labdaMahindi ya kuchoma yapo?weka kuni nyingi nasikia baridi..nahitaji mahindi ya kuchoma rafiki yangu
01:520139
Vipi ulabu upo?Mahindi ya kuchoma, blanketi ya kutoa baridi vyote umepata ,sema kitu kingine labda
Wewe tu Rafiki, unatumia kinywaji gani?Vipi ulabu upo?
015601:52
Bingwa.ipoWewe tu Rafiki, unatumia kinywaji gani?
Kuna bingwa, balimi,pilsnerBingwa.ipo
Kilimanjaro Vant jeKuna bingwa, balimi,pilsner
Kitoko,double kick, shujaa, burudani
Unataka ipi
IPO hy tena,una mix au dry ?Kilimanjaro Vant je
Nataka kumix na mint leaves,na lemon juice.unavyo vyote hivyoIPO hy tena,una mix au dry ?
Hizo zote zipo ila naona mbwembwe tu, pombe una mix km mboga? We kuya tuleweNataka kumix na mint leaves,na lemon juice.unavyo vyote hivyo
Nakuja rafiki yangu kipenzi.hakikisha kuna nyama ya kuchomaHizo zote zipo ila naona mbwembwe tu, pombe una mix km mboga? We kuya tulewe
Hahahaha, wewe njoo tulinde huku tunafanya yetuNakuja rafiki yangu kipenzi.hakikisha kuna nyama ya kuchoma
Nilikuwa nataka kujitahidi kutengeneza Classic mojito