Hahahaha ila wanakera sana sana
Mimi huwa nina strategy nzuri sana, wakijifanya kualikana natafuta earphones navaa masikioni, nafungulia ninachotaka kusikiliza nawaachia mwili wajitafunie wakichoka wanaenda zao.

Kuna imani kuwa ukiwa na damu tamu mbu wanakufata sana, nami kweli kwa siku nakunywa soda zaidi ya sita kwahiyo naamini wanafata ule utamu wa soda kwenye damu yangu.
 
Sijui kwanini aliacha
Hakaribishwi hadi wajumbe wapige kura ya ndio au hapana
Hahaha tunamdeku tu kama waziri wa maji na umwagiliaji wa Sudan anavyomdeku hapo.
 
Attachments

  • IMG_20200804_110725_646.jpg
    IMG_20200804_110725_646.jpg
    64.1 KB · Views: 1
Mimi huwa nina strategy nzuri sana, wakijifanya kualikana natafuta earphones navaa masikioni, nafungulia ninachotaka kusikiliza nawaachia mwili wajitafunie wakichoka wanaenda zao.

Kuna imani kuwa ukiwa na damu tamu mbu wanakufata sana, nami kweli kwa siku nakunywa soda zaidi ya sita kwahiyo naamini wanafata ule utamu wa soda kwenye damu yangu.
Ukinywa konyagi nasikia hawakufuati hata mmoja
 
Mimi huwa nina strategy nzuri sana, wakijifanya kualikana natafuta earphones navaa masikioni, nafungulia ninachotaka kusikiliza nawaachia mwili wajitafunie wakichoka wanaenda zao.

Kuna imani kuwa ukiwa na damu tamu mbu wanakufata sana, nami kweli kwa siku nakunywa soda zaidi ya sita kwahiyo naamini wanafata ule utamu wa soda kwenye damu yangu.
Alafu kwa nini watu wenye blood group O wanashambuliwa sana na mbu?
Yaani utakuta mpo sehemu na watu wengine lakini mtu kwenye damu group O ndio akawa analalamika mbu kumtafuna.
Hii nimeixperience mwenyewe na si mara moja
 
Group O ni wakarimu na watu wa kujitolea naturally, kwahiyo hata kulisha mbu huwa hawana shida ndio maana mbu wakishamgundua tu group O wala hawahangaiki na wachoyo wengine na magroup yao tofauti na O.

Mimi pia nina damu group O+
 
Haha haya mkuu nimekupata. Tuko pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom