Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 10,293
- 19,508
1:18
Sawa mkuu, tunalinda Jukwaa letu pendwa live long BrooNawatakia mkesha mwema 😊
Sawa MkuuNawatakia mkesha mwema
Duh!!walinzi kuanzia Kesho kibarua hakuna founder amekuja amenikuta niko mwenyewe ,0329
Shukrani sana mkuu. Karibu tujumuike pamoja.Nawatakia mkesha mwema
Umeanza utata. Umepotea hapa wiki nzima unaibukia weekend. Utakula sanspa ukizidisha masihala kazini.aaah bwana balozi..