Unaendeleaje na mafunzo ya keyboard mkuu?
Ulishapata mtu wa kukufundisha?
Bado sijapata mkufunzi ila nakomaa ili siku nikipata mtu wa kunifundisha iwe rahisi zaidi.

Halafu kitu kinachonizingua sana ni scale, yaani naweza kupiga wimbo mzima kutoka kwenye chord za white keys pekeyake, kuchanganya na black note ni hadi labda nichore kwenye piano roll huku nikisikiliza ina sound vipi au na play only white notes kisha na transpose kwenye DAW ninayotumia.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Hamna kitu rahisi duniani aisee, sikuamini kama kubonyabonya hili dude linaweza kuwa gumu hivi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom