Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh sorry...nilijua unaimani piaKitimoto muhimu🙄😁
Naungana na wakristo wote Leo ijumaa kuu hatuli nyamaOoh sorry...nilijua unaimani pia
Ila hii nadhani ni kwa watu wa RC pekee?Kama ni mkristo usisahau leo hatupaswi kula nyama...please
Safi🙏🏽Naungana na wakristo wote Leo ijumaa kuu hatuli nyama
Mi ni mmoraviani mbonaIla hii nadhani ni kwa watu wa RC pekee?
Basi wote tusile nyama tuanze keshoMi ni mmoraviani mbona
Ndiyo jitahidi bas tafadhaliBasi wote tusile nyama tuanze kesho
Sawa mammyNdiyo jitahidi bas tafadhali
Asante sana mukubwa