Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,985
- 69,375
Hahaha umenikumbusha long time mkuu
hahahahah Mwl umenifurahisha.....tukutane ukereweMabadilikoooo...... (huku ukizungusha mikono)
Ni kweli ndugu ulikuwa mzuri mno na sijui nani aliwashauri wabadilishe...View attachment 534131 View attachment 534132
Nimeumiss muonekano huu, unavutia na ulikuwa bora zaidi kwangu.
Huenda wakaurudisha tenaUlikua muonekano bomba sana
Joseverest tena!Hahaha umenikumbusha long time mkuu
Jamaa ananifurahisha sana, ni moja ya kivutio kwangu.Joseverest tena!
Lazima kuwe na mabadiliko kulingana na kasi ya Technology...View attachment 534131 View attachment 534132
Nimeumiss muonekano huu, unavutia na ulikuwa bora zaidi kwangu.
Sawa.Lazima kuwe na mabadiliko kulingana na kasi ya Technology...