JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

ssshhhhhhh...amelala.... Mwali ulikuwa wapi enzi hizo?:A S-coffee:lol
Mi niseme tu ukweli Jamboforums nimeiskia tu ila sikuwahi kusoma hata thread moja. Nilianza kusoma JF wakati wa uchaguzi, baada ya uchaguzi nikapoteza interest, only kuja tena hapa november tu.
 
Darling Kaizer na Mwali mmeniamsha..... Narudi usingizini, naomba mtoke hapa mkaendelee kunywa chai, nimewawekea mazingira mazuri Chit Chat lounge mchague tu wenyewe....lol....

Mwali hakikisha ankal anamaliza chai.... na lile gazeti mpatie; na coz nina usingizi bado check simu yake kama ina charge mchomekee...
 
Mi niseme tu ukweli Jamboforums nimeiskia tu ila sikuwahi kusoma hata thread moja. Nilianza kusoma JF wakati wa uchaguzi, baada ya uchaguzi nikapoteza interest, only kuja tena hapa november tu.

dah...umekosa mengi...I wish ungeweza ku archive za zamani ungepata ladha ya mijadala enzi hizo...hakukuwa na chit chat lol
 
Darling Kaizer na Mwali mmeniamsha..... Narudi usingizini, naomba mtoke hapa mkaendelee kunywa chai, nimewawekea mazingira mazuri Chit Chat lounge mchague tu wenyewe....lol....
Mwali hakikisha ankal anamaliza chai.... na lile gazeti mpatie; na coz nina usingizi bado check simu yake kama ina charge mchomekee...
Sorry kwa kukuamsha Anti, sim nililaza kwenye charge.
Nawahi chitchat!
 
Hiii (chini) ilichukuliwa Januari 13, 2007

Jan13-2007-1.png

jan13-2007-3.png

Hiii (chini) ilichukuliwa Oktoba 12, 2007

Oct12-2007-1.png
this is awesome aiseee.....naona moja ya id zangu za zamani....
 
Mimi nilikuwa nikiingia huku sielewi kitu, nilikuwa nashangaa mada inaelezea kidogo tu imekwisha. Nikawa najiuliza sasa hii ndiyo nini. Nilikuwa sielewi kuwa unatakiwa kuchangia, teh teh teh
 
Daaah, Usiyeonekana umenikumbusha mbaaaaali na baadhi ya majina niliyoyaona hapo juu, enzi hizo za kina:-

Field Marshall ES
Game Theory
Bubu Ataka Kusema
Pundit

Watuaaaaaache Jamii Forums watuache.

Rev. Kishoka
Mwafrika wa KikeDuuh enzi zile kulikuwa na vitu vinapakuliwa mpaka basi. Ukisikia kumkoma Nyani Gilani mchana kweupe ndio ilikuwa wakati ule. Nondo za kufa mtu zilikuwa zinapakuliwa hapa kila kukicha. Sasa hivi toka wamekuja kina The First Lady, Rajeo, Ritz basi hali ya hewa inakuwa kila saa inaharibuka maana wanapenda sana kuchafua hali ya hewa...
 
Donate VISA, MASTER CARD..(That was meant for foreigners, TZ leaving abroad and class of people, mostly with NBC and CRDB accounts (as then was)

Leo we dare to say. DONATE: M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NMB MOBILE, VODA/ TIGO RUSHA etc..:eyebrows:
 
Back
Top Bottom