JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

Inakumbushia mbali sana!! na kule business times enzi za uchaguzi wa 2005 nako vipi au hatuna uhusiano nako. topic za kule zilikuwa moto wa kuotea mbali nakumbuka kina Mkandara, Abu ngabu (na "rafiki" yake mhindi), mzee ES etc etc
bado na miss enzi hizo, siku moja ghafla nika kuta imesombwa na mafuriko.....
 
tumetoka karibu tuendako mbaliiii.... asante sana kwa archives mkuuu!
 
Duh Me Nilikuwa nazama kwenye Music nasikiliza then nazama kwenye Jambochat kule kulikuwa na raha Miss jambo wetu R.I.P

Tatizo langu ilikuwa ni kuregist nilipenda kuchangia ila hapo sikulipenda...

Mkuu why Music na Chat live hazipo now days
 
Dah kweli umetufunua sisi ambao kwa wakati huo tulikuwa bado hatujawa wanajamii Forums.
Happy New Year wa JF wa zamani.
 
Pamoja sana mkuu Invisible, tangu 31 desemba 2007, kibinti changu kinazaliwa (hivi address ya 'contact us inafanya kazi/huwa mnaipitia hata kwa bahati mbaya! au ni utaratibu kutojibu mail mnazoandikiwa) na leo mwaka wanne, bahati mbaya kuna memba mmoja katumia vibaya RA na inanicost sasa.

Tumetoka mbali na uzuri tunakosonga tunakujua, pamoja sana JF
 
Duuh! safari ya JF ilianzia mbali.....hii ya jambo forum nilikuwa nasikia jina tu

...ziko mpaka fulana za Jambo forums mimi nilipewa mbili nyekundu na nyeupe hadi hii leo bado natinga nazo...bado mmaaaa!!!!
 
...ziko mpaka fulana za Jambo forums mimi nilipewa mbili nyekundu na nyeupe hadi hii leo bado natinga nazo...bado mmaaaa!!!!

Kwa itikadi yangu hii itakuwa ngumu kuvaa:focus:

JF inazidi kuongezeka (iliishakua tangu inaanzishwa) na sasa imekuwa ni chanzo kikuu cha kupambana na umaskini mkubwa (ukosefu wa taarifa) na hapa wengi wanasema wanataka nini na si viongozi waseme tunataka nini
 
Pole sana mtu wa kandambili/magamba :):)....Inakua sana, Nov 2nd 2006 jumla ya mabandiko yalikuwa ni 13,273 tu leo hii idadi hiyo imefikia 3,053,660. Hongereni sana kwa juhudi zenu.
 
Pole sana mtu wa kandambili/magamba :):)....Inakua sana, Nov 2nd 2006 jumla ya mabandiko yalikuwa ni 13,273 tu leo hii idadi hiyo imefikia 3,053,660. Hongereni sana kwa juhudi zenu.

Klabu ya chama na serikali, ukibisha huu mwaka sio wako

Ni kweli, binafsi nimekua pia, toka kutumia pentium II hadi mac ([SUB]hizi zote ni za ofisini[/SUB]) na kwenye mobile unabrowse kama kawaida. Ban toka sifuri hadi leo watu wanazi-carry (hivi invisible hakutoa msamaha wa mwaka mpya kama FF alivyopendekeza!)
 
Mimi nilikuwepo ila nilikuwa natumia jina tofauti na hili,, hii yote ni kuwa wakati inaanzishwa nilikuwa nyumbani, na the same year nikawa nimekuja huku ughaibuni hivyo ilinibidi nibadilishe kidogo ID ya hapa jamii, where we dare to Talk, and we are still talking openly,, heko Jambo forum now jamii Forum,, happy new year to all, stay blassed.
 
.... na iliporudi online...................tulipiga kelele sanaaa......................... oooh, mbaya.............. haivutii,...................... maandishi madogo............. lakini baadaye sote tumeishaizoea....................... na tunasonga mbele............................

hongereni sana wahusika wote......................
Kwa hili nadhani wanatakiwa wabadili muonekano. Tumezoea kwa sababu tuna uhuru wa kuongea, ila kazi inabidi ifanyike.
 
Mkuuu invisible hapa umenichanganya. mimi nadhani hii uliyoweka hapa ni either 2009 or 2010 and beyond. Kwani kutoka JamboForums kwenda JamiiForums ilianza mwaka lini?-- si ni 2010????
 
mkuuu invisible hapa umenichanganya. mimi nadhani hii uliyoweka hapa ni either 2009 or 2010 and beyond. Kwani kutoka JamboForums kwenda JamiiForums ilianza mwaka lini?-- si ni 2010????

Acha kutoa povu mkuu, wewe umejiunga Dec 2009, je ilikuwa jamii or jambo, jibu unalo hapo.
 
Yaani nilikuwepo toka ikiwa Jambo Forums na mpaka leo Jamiiforums
Duh tumetoka mbali
Hongera sana wakuu kwa kazi zenu
 
lol..... hongera sana JAMBO FORUM, nw JAMII FORUM.
Well done guyzzz.
 
Mkuu Invisible hawa watu wako wapi siku hizi... Field Marshall ES, Pundit, Icadon na Enigma?

Zamani nzuri!! Zaidi sana michango ya watu kipindi kile duh!! Wengine tulikuwa watazamaji/wasomaji wakati wenye nondo wanazimwaga. kulikuwa hakuna kudesa. Wakikushtukia umedesa utapigwa kirungu cha kiaina unaweza ona JF imekuharibia siku yako kwa siku hiyo.
 
mkuuu invisible hapa umenichanganya. mimi nadhani hii uliyoweka hapa ni either 2009 or 2010 and beyond. Kwani kutoka JamboForums kwenda JamiiForums ilianza mwaka lini?-- si ni 2010????
That was May, 2008
 
Back
Top Bottom