Jambo forum haikuwa mbaya sana nilijipatia mume kuleeee enzi hizo sasa kawa baba watoto wangu ndoa tamu 5 years
mbona hutoi hata mkono wa pongezi tanmo.tuchangie bana.kidogo kidogo
mwanzo ilikuwa Jambo Forum...sasa ni Jamii Forum.....na ilianza March 2006.....
we waambie waje JF......watapata zaidi ya historia.......
waambie kuna jukwaa la MMU na Chit Chat....watayapenda.....
Ina members approximately wangap? Na per day/week/month/year kuna new members wangapi wanajiunga?