Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Of course, Of course!!! Utaingia nyikani na usijali uwepo wa simba!?
Nipo mkuu...majukumu tu, na mambo ni mengi sana kipindi hiki
Bora umwambie ma dia....
Kumbe ccm wana blog!bomba sana nawashauri wapitie na blog nyingine kama ccm blog ilin na wao wajidai.
hongera@Invisible
Vodacom wameamua kuusema ukweli ambao wengi wamekuwa wakishindwa kuukiri hadharani.
Ni kweli kwamba hakuna "social media" "inayokimbiza" hapa bongo kama JF.
Ukifanya vizuri unasifiwa, ukiboronga unakula za uso papo hapo!! Kuna baadhi ya wakongwe wa JF wamejiengua na kuhamia fb kwa madai mbalimbali. Mara waseme kwamba JF imeshuka hadhi, mara waseme imezidi matusi, lakini baada ya muda mfupi unawakuta wamerudi, wengine wanachungulia kama guests na wengine wanakuja na Id mpya.
Chezea JF wewe!!??
Idumu JF.
mbona unampongeza Invisible tu....una kesi ya kujibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!