JamiiForums: Tanzania's leader in Local Digital Media

Mmiliki Mkuu wa Hiyo Kampuni hapa Tanzania ni Rostam Aziz.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Hapo penye red ndicho hunifanya niichukie Vodacom, nikija kuchanganya na juzi juzi wamenipiga One Kilo kwenye M-pesa yao na hawataki kunipa maelezo yanayoeleweka ndio kabisaaa kila ninapoona bango la Vodacom nazidi kupata nausea kama mama mwenye mimba
 
Hapo penye red ndicho hunifanya niichukie Vodacom, nikija kuchanganya na juzi juzi wamenipiga One Kilo kwenye M-pesa yao na hawataki kunipa maelezo yanayoeleweka ndio kabisaaa kila ninapoona bango la Vodacom nazidi kupata nausea kama mama mwenye mimba

Halafu wa dhamini wakuu wa M4C ni wao. Huku Rostam Aziz Owner, huku Binti Makamba - hapo sasa! ndio ujuwe siasa hizi za magwanda wanapiga kelele tu hawana lolote, njaa tu zinawasumbuwa.
 
Tujipongeze lakini tukumbuke Dr. Lucy Nkya mbunge anatamani hii JF na FB zifungwe kwani zinatukana viongozi wa ccm
 
logo_m.jpg

CHEMA CHAJIUZA
HONGERA JF YOTE: KWA UPANDE MMOJA WAANDAAJI, WAANDALIZI NA WASIMAMIZI; KWA UPANDE WA PILI WACHANGIAJI MAWAZO, MAONI NA VIJISENTI - Mkono mtupu haulambwi.
 
Tunashukuru, na sisi tunawatambua kwamba walichangia kwa kiwango kikubwa sana katika uwezeshaji wa Kampeni za Kishenzi dhidi ya matakwa ya Watanzania wakati wa uchaguzi mkuu 2010.
 
...hahahahaha..kuna siku moja niliwaambia jamaa wa synovate na baadhi ya Advertising Agency kuwa JF ni sehemu tosha ya kujitangaza ....tukabishana sana....kumbe wanaikubali eeh
 
zomba yaani unategemea niache kujikita kwenye mambo ya maana nipoteze muda na mtu ambaye hawezi kutumia kichwa chake zaidi ya copy & paste? hell NO.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom