JamiiForums: Tanzania's leader in Local Digital Media

Big up JF...sijui lini tutajuana face to face tucheke vizuri...inshallaha baada ya 2025 labda maana mhhh!
 
JF is now irresistible! Walijifanya kuipotezea/kuibania mwanzo, lakini sasa wamepata akili!
labda hii move itamfanya Mbunge Juma Nkamia alau aelewe yuko nyuma ya 'ukisasa' kiasi gani
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mitandao mingine imeingia JF mapema zaidi na naamini wanazo record za JF lakini sijui ni uoga kusema ukweli kuwa JF ndio inaongoza! Vodacom hongereni lakini misumari iko pale pale mkiharibu tehe tehe tehe!
 
Vodacom wameamua kuusema ukweli ambao wengi wamekuwa wakishindwa kuukiri hadharani.
Ni kweli kwamba hakuna "social media" "inayokimbiza" hapa bongo kama JF.

Ukifanya vizuri unasifiwa, ukiboronga unakula za uso papo hapo!! Kuna baadhi ya wakongwe wa JF wamejiengua na kuhamia fb kwa madai mbalimbali. Mara waseme kwamba JF imeshuka hadhi, mara waseme imezidi matusi, lakini baada ya muda mfupi unawakuta wamerudi, wengine wanachungulia kama guests na wengine wanakuja na Id mpya.

Chezea JF wewe!!??
 
Vodacom wameamua kuusema ukweli ambao wengi wamekuwa wakishindwa kuukiri hadharani.
Ni kweli kwamba hakuna "social media" yeneye "kukimbiza" kama JF.

Ukifanya vizuri unasifiwa, ukiboronga unakula za uso papo hapo!! Kuna baadhi ya wakongwe wa JF wamejiengua na kuhamia fb kwa madai mbalimbali. Mara waseme kwamba JF imeshuka hadhi, mara waseme imezidi matusi, lakini baada ya muda mfupi unawakuta wamerudi, wengine wanachungulia kama guests na wengine wanakuja na Id mpya.

Chezea JF wewe!!??

Haha,ume nifanya ni login na ku-comment.
Sio kwamba tuna kimbia JF na kuwa kama guests,ila
tunapenda kusoma zaidi kuliko kuchangia sometimes,.....
Ukimya una saidia sometimes.
 
Haha,ume nifanya ni login na ku-comment.
Sio kwamba tuna kimbia JF na kuwa kama guests,ila
tunapenda kusoma zaidi kuliko kuchangia sometimes,.....
Ukimya una saidia sometimes.

mheshimiwa supika uko sawa lakini kuna baadhi ya watu wameikimbia JF kabisa hawataki kurudi.
Wengine ukiwakuta huko fb wanaiponda sana JF lakini utashangaa hao hao ndio wanachukua habari toka JF na kuzipeleka fb.
 
Back
Top Bottom