thanks. Ila siye wa mipakani tunahujumiwa na mitandao yetu maana wakati mwingine tunasomeka kama tupo nje ya nchi. Vipi ukiwa nje ya +255 tutapata huo ujumbe?
voda mdau,,,,,,,,
thanks. Ila siye wa mipakani tunahujumiwa na mitandao yetu maana wakati mwingine tunasomeka kama tupo nje ya nchi. Vipi ukiwa nje ya +255 tutapata huo ujumbe?
Hii Ina tofauti gain na zile twitter alerts amazon nazipata free.? Why sasa nijiunge na SMS alert naomba ufafanuzi.