Ukback255 Senior Member Aug 31, 2016 174 276 Dec 28, 2016 #1 Tukielekea kumaliza mwaka naomba tupige kura na zitahesabiwa tarehe 1 January 2017. Awe member wa jamii forums, mtanzania. Tupige kwa wingi taja tu jina la mtu ambaye katisha mwaka huu 2016. Usiongeze maneno taja tu jina lake analotumia. Asante.
Tukielekea kumaliza mwaka naomba tupige kura na zitahesabiwa tarehe 1 January 2017. Awe member wa jamii forums, mtanzania. Tupige kwa wingi taja tu jina la mtu ambaye katisha mwaka huu 2016. Usiongeze maneno taja tu jina lake analotumia. Asante.
Tuwaseme JF-Expert Member Oct 8, 2014 645 1,188 Dec 28, 2016 #7 Maxence Melo. Huyu ndo ametisha mwaka 2016 kaisumbua mpaka Serikali ya JPM
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,287 Dec 28, 2016 #9 Maxence Mello will be my hero for a very long period of time... Kesho mahakamani tumuunge mkono
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member May 8, 2013 9,548 24,159 Dec 28, 2016 #14 Maxence Melo is my HERO.
kyatamato JF-Expert Member May 14, 2015 387 269 Dec 28, 2016 #17 Kuna Yule jamaa aliyenipiga ban ...khaaa stakuja kumsahau..