JamiiForums' New User Interface

FUJISTU

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
261
93
Im just in love with this new JF's new User Interface(UI) kwa sisi wa Android, pamoja na added features, ziko very cool. Maoni yenu yakoje members?

Shukrani na pongezi kwa developers
 
Kwa upande wangu naona hii UI mpya sio nzuri ukilinganisha na ile iliyopita. Nawashukuru kwa nzuri ya uboreshaji.
 
Hii imekaa vzuri kwa kuwa inakupa advantage ya ku-reply kama kama msg.. Ila tatizo liko ukitaka ku-quote au ku-like.. Ya mwanzo ulikuwa una-touch inakuletea options bt nw naona options zinatokea juu ya screen na halafu rangi yake kidogo inaumiza macho na zile options hazionekani vizuri kwa ajili ya rangi.. Halafu bado inalimit posts.. maximum 50.. nilidhani ingeenda mpaka kwenye 100 na kadhaa huko..
 
Kwa upande wangu naona hii UI mpya sio nzuri ukilinganisha na ile iliyopita. Nawashukuru kwa nzuri ya uboreshaji.



Hii mbovu sio nzuri kabisa au macho yangu yana illusions baadae yata-adapt nayo
rm30.png
 
Ni nzuri ila jichunguzeni baadhi ya forums contents zina hali mbaya kwa kutekwa kwa hoja na kuwa vioja. Pia mjichunguze autheticity na double standards za BAN.

Kifupi technically excellent; contents and admin you heading down the hill
 
Rangi zake zinaumiza macho..
 

Attachments

  • 1387465924625.jpg
    1387465924625.jpg
    58.5 KB · Views: 74
Hii mpya nimeipenda sna, mwanzo niliiona ipo complecated kidogo bt sasa nimeisoma vizuri....big-up kwa waliohusika
 
Developer rudini ile ya mwanzo.. ile ilikuwa inakupa option kibao na rahisi ila hii kidogo haijakaa vizuri kwa mtazamo wangu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom