JamiiForums ndani ya wikipedia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JamiiForums ndani ya wikipedia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C.T.U, Nov 5, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu, ni muda mrefu sasa watanzania tumekuwa tukitumia mtandao wa JamiiForums na umekuwa una mafanikio makubwa sana so nikaona sio mbaya kama iwapo tukaiweka JamiiForums katika wikipedia free encyclopedia.

  So hii nikiifanya mimi CTU kama CTU haiwezekani bali nitahitaji mawazo ya kila mtu hapa katika kufanikisha hili so hata kama sio mimi ambaye nitaandika mtu yeyote anaweza andika so naomba tujuzane vitu vufuatavyo kuhusu JamiiForums

  Mwaka ulioanzishwa
  Historia yake
  Idadi members wake
  Sababu za kukua kwake
  Ufanyaji wake wa kazi
  Uwiano wa JamiiForums na mitandao mingine ya kibongo
  Makao makuu yake
  Jina la mwanzilishi
  Mapato yake kwa mwaka
  Net worth ya mwanzilishi - (nothing personal) lol
  Alexa rank
  Ukuaji wake

  So kama mtu ana data kati ya hivyo vitu hapo juu atakuwa amesaidia kutoa data kwa ajili ya research ya kupata kwa ajili ya plan ya kuiweka JamiiForums katika wikipedia na kuipromote JamiiForums world wide.

  Tafadhali nisaidieni katika hili

  NB: Hata kama una data zingine ambazo haziko hapo waweza share na sisi katika kufanikisha zoezi hili

   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri sana,hongera. Nadhani majibu sahihi na precise utayapata kwa invisible/maxence manake kama utujuavyo tutakuingiza chaka sasa hivi. Kila la kheri, hongera tena
   
 3. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok wazo zuri CTU
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  asante sana boss
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  ok thanks for the support
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Ulongo muulize Invisible peke yake ndio utapata ukweli huyu Maxence mhmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh naona mgeni.
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yap! TZ inahitaji vijana kama nyie ili isogee hapo ilipokwamishwa
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hongera saana CTU, Proud of you na wazo lako.... Hopefully ufanikiwe mpaka kwenye end result...
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hongera sana mkuu, wazo kuu hlo.
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wazo zuri mkuu! songa mbele....
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaaaa!!
  Aseee!
  Duh!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Basi umjibu ww kwa niaba ya invisible manake he is invisible kabisa manake waonekana mwenyeji kumzidi maxence.
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ni mwenyeji kumzidi hata founder wa jf...max
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  wenine humu wamekaaa kimtego mtego, kila jambo kwao ni baya na sio sahihi.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  Wacha1, unamshauri bora amuulize Invisible na sio Maxence!, kwani Max ana nini?, ua Max ndio unaemsema ni mgeni humu?.
   
 16. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,251
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Ni mawazo mazuri CTU! ila wote mlio-support hii mada na mkaona kuwa ni vyema jf ikawa kwenye free encyclopedia hamuoni mtakuwa mme-violet privacy policy za jf founders as they operate visually and their office no where to be seen?
   
 17. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Information nyingi zilizotajwa hapo zote naona ni sensitive sana. Zinaweza kuhatarisha uhuru wa JF na members wake. Mpaka sasa ilipofikia JF ni kutokana na modus-operandi yake ndo maana kila siku inakua. Kwa ufupi haihitaji kupata external promo. Data nyingine zipo hapa JF mfano members wake, sifa na mafanikio yake.

  Hata hivyo kama lengo halisi ni kuiweka JF kwenye wikipedia bado inaweza kuwepo kwenye Wikipedia bila mambo mengi yaliyoorodheshwa hapo juu. Unaweza kuweka hata aya 1 kwenye Wikipedia halafu taarifa nyingine zikaongezwa taratibu kulingana na mahitaji
   
 18. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  \
  ok brother nimekupata vyema thanks
   
 19. v

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  wazo zuri sana mkuu.
  Big up!
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  fanya hivyo-itakuwa bomba
   
Loading...