JAMIIFORUMS ina mchango gani katika jamii ya KITANZANIA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMIIFORUMS ina mchango gani katika jamii ya KITANZANIA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 19, 2011.

?

JAMIIFORUMS ina mchango gani katika jamii ya KITANZANIA?

 1. JF imeleta mapinduzi ya fikra kwa watanzania?

  100.0%
 2. JF emeleta uchochezi baina ya Member na member, viongozi na JF Member?

  0 vote(s)
  0.0%
 3. JF emeweza kuabalisha habari kwa watanzania kwa uharaka?

  0 vote(s)
  0.0%
 4. JF emeleta mapinduzi katika serikali?

  0 vote(s)
  0.0%
 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamiiforums imekuwa social network iliyowavutia na inawavutia vijana wengi wakubwa kwa wadogo
  Jf imekuwa tofauti na social network nyingine hapa tanzania maana ina mlengo tofauti.

  Jf imeweza kubadili fikra za wasomaji wakubwa kwa wadogo, mpka naleta hii thread nilitaka kujua kama JF
  ina madhara gani kwa jamii inayolegwa
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kamwulize Nape
   
 3. p

  propagandist Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina faida yoyote labda kueneza majungu, na uchochezi watu waiasi serikali yao, na ndio hasa malengo ya hii mitandao hata tunisia, egypt na kwingineko kwingi mitandao hii imehusika kwa kiasi kikubwa sana.
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Inamchango sana tu. hata malaria sugu ameisifu sana tu katika mtandao wake
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  propagandist........... Propaganda zimekijaa kichwa chako ndio maana una malaria sugu
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  rekebisha lugha kwenye hivyo voting boeard
  emeweza
  kuabalisha
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Virus mwingine huyu.
   
 8. Researcher

  Researcher Senior Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sina hakika kama hilo neno (kwenye red) ni sahihi hapo..
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  imetusaidia kujua uozo wa serikali ya kikwete..
   
Loading...