Hongera sana kwa kukumbuka kushukuru kwani ni wachache wenye kukumbuka kutoa shukrani...Mungu akubariki na akuzidishie uendelee kuwa na shukrani milele.
Hongera sana. Umeonyesha moyo kurudi na kutoa shukurani. Ni changamoto kwa wote wanaonufaika na JF, angalao kusema tu AHSANTE. Huu ni ukomavu, nimeona William Malecela kwa kupata mafanikio kisiasa na leo huyu kwa kupata kazi. Pia marehemu Regia Mtema, aliikumbuka JF wakati wote. Wapo wengine pia, si rahisi kuwataja wote, lakini ambao wameghafilika, waige mfano wa hawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.