JamiiForums imenisaidia nimepata kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JamiiForums imenisaidia nimepata kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nkwezi, Mar 29, 2012.

 1. n

  nkwezi Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: May 8, 2007
  Messages: 57
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Alhamdullah, wana JF na mie nimepata kazi kwa kupitia matangazo ya humu.

  Nawashauri sie tusie na marefa ukiona tangazo we tuma na umuombe mungu tu, maana mie huu ni mwaka wa nne tangu nimalize chuo. Tusijikatie tamaa, tujaribu kufanya kazi hata za kujitolea kuongeza experience. Mungu awatilie wepesi wote wanaoendelea kutafuta kazi.

  Mungu ibariki JF yetu isonge mbele.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Thanx mkuu bora yako umerudi kutoa shukran banaa
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pamoja na shukrani nakuomba uchangie kiduchu kwa uongozi wa JF ili mtandao huu uzidi kuwepo kwa siku zote zijazo.
  OTIS
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wengi tu wanapata kazi bila marefa! Hongera sana. Kumbuka chezea mshahara usichezee kazi.
  Kila la kheri, usibweteke.
   
 5. B

  Bokohalamu Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera zako mkuu,mi nina miaka 2 nautafuta wa 3!but kaz za bila malipo imekua ngumu kwangu, nimeomba sehem mbalimbali bila mafanikio,labda mnisadie ni makampuni ama taasisi gani zinapokea watu wa design yangu,nina postgraduate ya uhasibu.Pls help!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Nkwezi.....ni wachache sana wanaorudi kutoa shukrani zao.....
  kila la kheri.....
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kila la heri joh.
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kutunza kazi ni kazi
   
 9. Myelife

  Myelife Senior Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Be blessed, but kupata kazi ni kazi hasa usipokuwa na kazi, but also go back kwa muumba wako pia umshukuru.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safeeeeeeeeeee,Hongera we mkareeeeeeeee!!
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nadhani sasa utatembelea jamvi marakwamara.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  safi sana mkuu! tunashukuru kwa shukrani!
   
 13. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,678
  Trophy Points: 280
  Kwa Elimu uliyokuwa nayo Nakushauri uende JWTZ,japokuwa sifahamu utalipwa Kiasi gani. Ila ukiwa na DEGREE unaanza na Nyota 2. Wenye PGD sijajua waanzia vipi. Ni Ushaur wangu tu Mkuu
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya marefa na kutojiamini yanatugharimu sana...tunakosa creativity au moyo wa kuthubutu kufanya hata yale yanayowezekana.
   
 15. B

  Bokohalamu Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yah ni kwel mkuu hilo niwazo linalo nizunguka,nasikilizia nafasi zikitoka nijitupe huko.Shukran mkuu!
   
 16. n

  namnyak Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du hongera sana umetupa moyo sana kwa mim binafsi nilishaanza kukata tamaa kwa kweli pia n vema umerud kushukuru utabarikiwa zaidi
   
 17. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mwanangu, nakupongeza kwa kukumbuka kutoa shukrani.

  WASWAHILI WANAKWAMBIA MTU ASIYEKUWA NA SHUKURANI NI SAWA SAWA NA MNYAMA.

  Hata mimi nawashukuru JF wamenisaidia kupata mtu aliyechukuwa duka langu nilikuwa natafuta mpangaji NAMI NIMEPATA.

  GOD BLESS Jamii Forums na wanachama ambao kwa kweli wako sharp unapoweka jambo lako wana reply haraka....
   
 18. Mbaramwezi

  Mbaramwezi Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hongera sana kamanda! bt u didn't tell us where are you working,nevertheless,keep on encouraging those who are not yet employed.
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  HALAFU eti mch.lwakatare anasema jf ifungiwe!ajira angetoa yeye?
   
 20. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera sana kwa kupata kazi. Pia ni changamoto kwa wanaotafuta kazi usikate tamaa eti kwa sababu huna refa, jaribu kadri uwezavyo ndugu yangu....
  Hongera Jamii Forums
   
Loading...