engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Ndugu wana jf ni vizuri tukajuwa hisia zetu juu ya jamii forum,kwani kwangu mimi jamii forum ni kila kitu,huwa nahisi nipo nyumbani morogoro kihonda kwa chambo, na kwa kweli nilihisi kufa baada ya saa 6.30 mchana ya hapa china kufunguwa jamii forum na kuambiwa kuwa nivumilie baada ya saa moja itakuwa ok.
ningependa kujuwa wewe mwanajamvi ulijisikiaje baada ya jamii forum kutokuwepo kwa masaa kadhaa ndani ya mtandao?
toa hisia zako tujuwe
mapinduziiiii daimaaaaaaa :target:
ningependa kujuwa wewe mwanajamvi ulijisikiaje baada ya jamii forum kutokuwepo kwa masaa kadhaa ndani ya mtandao?
toa hisia zako tujuwe
mapinduziiiii daimaaaaaaa :target: