JamiiForums Advert Competition

icadon nimeipenda sana kazi yako keep up bila shaka hii zawadi yaweza kuishia kwako.
 
One week, unatengeneza music video? LOL!!
Inategemea una majukumu gani mengine. Kama wewe ni video producer itakuwa rahisi, kwani tayari softwares unazo. Lakini pia mtu anaweza kuwa na knowledge, ila kwa wakati huo hana some resources kama software etc kutokana na nature ya kazi zake za kila siku, kwa hiyo akatakiwa kwanza aanze kuangalia nani au wapi atapata. Obviously itamcost time. Ni mfano tu, si lazima iwe kama ilivyo. Invisible amesema atarudi kujibu ile !!
 
Hi Icadon,

Wow Great work just a little feedback that you may have noted yourself:

1) when it starts the line "Be a part of community" should be "Be a part of a community" I think.

2) And a little suggestion is after you higlight the few forums (Jukwaa la siasa....burudani, etc) may not be a bad idea to add "....and much more!"

Thats all...luv'd the ad!!!!

Watoto wa Mjini wanasema hili jiwe (nzuri mno) mwanaaaa. Pongezi zikufikiie Mkuuu.

icadon nimeipenda sana kazi yako keep up bila shaka hii zawadi yaweza kuishia kwako.

Nashukuru waungwana, bado najifunza.

Sikuweza kupata nyimbo za kienyeji kwa haraka kama muungwana mmoja alivyoshauri hapo juu, ila katika siku za karibuni nadhani nitafanikiwa kuzipata.
 
Nimefanya mabadiliko mawili matatu kwenye original composition, bado sijapata background nitakayoitumia permanently.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=1c1hFaiQS08]YouTube - Jamii Forums 1:2:1[/ame]
 
Nimefanya mabadiliko mawili matatu kwenye original composition, bado sijapata background nitakayoitumia permanently.

YouTube - Jamii Forums 1:2:1

Mzee kazi nzuri..
Nina wazo kidogo. Kama unaweza kufanya pia ikawa inasomeka kwa Kiswahili kwenye maneno ambayo yanaonekana kwa kiingereza. Kumbuka kuangalia tunatarget watu ambao wataangalia television za kiswahili pia.
Vile vile kama unaweza kuweka background ya JF web labda mwishoni pale.
Otherwise is Good.
 
Ili iwe na tafsiri ya Kiswahili nashauri weka background sound itakayokuwa ikitafsiri hayo maandishi ya kiingereza. Kwangu hiyo sauti ya music bado ni nzuri tu kama ukikosa ya kibantu.
Ni mawazo yangu tu.
 
Mzee kazi nzuri..
Nina wazo kidogo. Kama unaweza kufanya pia ikawa inasomeka kwa Kiswahili kwenye maneno ambayo yanaonekana kwa kiingereza. Kumbuka kuangalia tunatarget watu ambao wataangalia television za kiswahili pia.
Vile vile kama unaweza kuweka background ya JF web labda mwishoni pale.
Otherwise is Good.

umenipa wazo nimefikiria kitu kama hiki; hizo fly by words zinaingia na picha za majukwaa mbali mbali ya JF alafu inafade out kadri inavyosogea mbali/karibu na camera. Kila kitu kitakuwa kwenye 3D.
 
Nimefanya mabadiliko mawili matatu kwenye original composition, bado sijapata background nitakayoitumia permanently.

YouTube - Jamii Forums 1:2:1
Icadon nimepata wazo kwamba kwa nini kwenye tangazo hilo usiweke maandishi kuwa jamii forums inapokea matangazo(Adverts) na ku host web? maana nadhani jamii forums inahitaji matangazo mengi kuwa hosted hapa kwa ajili ya ustawi wake.
Mtandao huu unatembelewa na maelfu ya watu kwa siku na hapa tunaweza kutangaza biashara zetu sana sana. Na forums yenyewe kupata mapato ya kutosha kujiendesha na kupata faida kwa ajili ya ustawi wake.
 
wow jus wow!! i didnt knw jamiiforums was taking this to the next level... amazing!!
 
KUNA KIJANA AMEJARIBU HII MKUU INVISIBLE.
Japokuwa day z over...!
View attachment 4510

Mkuu I hope you don't mind nimeweka ad yako kwenye youtube. naona umetumia one of my favorite song (where the streets have no name)

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=m5C1lgIlThs]YouTube - X-Paster's Jamii Forums Ad.[/ame]
 
Mkuu wa Kutokuonekana na Kuonekana,

Hii itaisha lini? Nilikuwa na moja ya wakati ya Jambo Forum! Ilikuwa kubwa .AVI...

Nitaituma wewe bomba...:D (post to you-tube)

Icadon! Congs
 
Nimefanya mabadiliko mawili matatu kwenye original composition, bado sijapata background nitakayoitumia permanently.

YouTube - Jamii Forums 1:2:1

Mkuu Icadon, this is just amaizing...i like it.

Mchango wangu: Hapo mwanzo from 0-10 na ushee ambapo kuna kama miali ya mwanga/cheche kwenye background, unaonaje ukiweka mwanzo uwe na kilele cha mlima wa volacano (may be mt kilimanjaro..!!), kinatoa hizo cheche then JamiiForums.com inaibuka kutoka kwenye huo moto/lava ikiwa imepikika. Wazo tofauti ni kuweka kama Jua linachomoza kwenye background ya Serengeti...linatoa maneno JamiiForums.com

Ni hayo kwa leo. Kazi nzuri...
 
KUNA KIJANA AMEJARIBU HII MKUU INVISIBLE.
Japokuwa day z over...!
View attachment 4510

Mkuu, kijana kwa kweli amejitahidi, ianelekea kijana yuko busy sana....atumie muda zaidi kidogo kurekebisha pale panapotokea ushiriki ktk mambo mbali mbali....siasa, uchumi, sheria nk...... inaenda speed mno...its not easy ku-catch
 
Taarifa zitamfikia Insha'Allah!
 
Mkuu I hope you don't mind nimeweka ad yako kwenye youtube. naona umetumia one of my favorite song (where the streets have no name)

YouTube - X-Paster's Jamii Forums Ad.

Mkuu Icadon, Kuna nyingine ambayo mimi binafsi nimeifanyia kazi... nitaipandisha punde... nimeiweka kwenye format ya DvX...!
Mp4 naona inapoteza Quality japokuwa nimetumika programa ya Final Cut Pro, kuitengeneza.
 
[ame="http://http//www.youtube.com/watch?v=eRu1i7mx8vY"]http://http://www.youtube.com/watch?v=eRu1i7mx8vY[/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=Aa107ZKQsoM]YouTube - Jamii Forums 1.3[/ame]
 
Mkuu hongera sana sana.........nina maoni kidogo

1. background moving pictures/photos zinatisha.....probably you can explain why you chose that background

2. It takes 2 minutes or so.......sio mbaya.......ila nafikiri the longer it takes the more we gonna pay popote pale tutakako rusha hiyo advert

Once again Congrats and im impressed kwa juhudi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom