Alamba lolo
Member
- Apr 12, 2019
- 16
- 12
Mnipokeye wa tanzania wenzangu. Hodi, hodi, hodi........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mzalendo wanguvukaribu sana mkuu
Mbona una haraka hivyo, kajifunze kwanza namna nzuri ya kuwasiliana na watu humu JFMnipokeye wa tanzania wenzangu. Hodi, hodi, hodi........
JIPOKEYE mwenyewe palata weMnipokeye
wewe lazima ni mwakeye.Mnipokeye wa tanzania wenzangu. Hodi, hodi, hodi........
Shemela uko vizuri. 😅😅Karibu sana JF mjukuu wetu GT.
Mambo dadaShemela uko vizuri.
Mambo yako poa kabisa mdogo wangu. Aliyekuficha Mungu anamuona kwa kweli.Mambo dada
Huwa siwaachi kuwakaribisha wageni humu.Shemela uko vizuri. 😅😅
Nmekuona Shem tena sio kwenye uzi mmoja.Huwa siwaachi kuwakaribisha wageni humu.
Poa shemela tunakimbiza na kwingine ati.Nmekuona Shem tena sio kwenye uzi mmoja.
Ndio maana kabidi nikupe hongera zako kwani uko vizuri. 😀😀😀
Hahaaa. Usijali Shem. Siku njema.Poa shemela tunakimbiza na kwingine ati.
Poa poa shemela.Hahaaa. Usijali Shem. Siku njema.
dada jamani nipoMambo yako poa kabisa mdogo wangu. Aliyekuficha Mungu anamuona kwa kweli.
Ndio Nini iyo?wewe lazima ni mwakeye.