Jamiiforum ilinipatia kazi na huyu naye anataka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamiiforum ilinipatia kazi na huyu naye anataka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Prisila, Jan 4, 2012.

 1. P

  Prisila Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Anatafuta kaz ni mdada ana miaka 22 namba ya cm hii. 0758991110.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Anatafuta kazi gani? ungeweza kuweka maelezo ya kutosha kuhusu huyo dada na aina ya kazi anayotafuta. Kutoa namba yake ya simu tu pengine haitamsaidia (labda kama ni "zile kazi zingine"!)
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa mtindo wa kutoa namba ya simu bila sifa za mwombaji wala aina ya kazi anayoitaka,kazi itakuwa ndoto kwake.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu dada anajiuza hana lolote,anatafuta kazi gani sasa mbona ajataja? Qualifiacations zake? Wasichana tulieni acheni umalaya na kujiuza
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Na wewe ulipata kazi kwa kuanika namba yako ya simu humu?
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli tuna kazi mwaka huu
   
 7. A

  ANTA Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYU DADA ANA LAKE JAMBO, KAZI BILA VIGEZO NA SIFA NANI ATAKUSIKILIZA. KAMA AMEKOSEA BASI AWEKE DETAILS ZAKE, HASA HASA TAALUMA YAKE, UMRI, UWEZO NK. SIMU ASIWEKE KABISA, UTATONGOZWA MBELE YA MMEO AU UNATAKA UWAPATE WANAUME. MH, UMECHEMSHA, MI SIKUPIGII.:rant:
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Lengo lake ni kutafuta wanaume hana lolote huyo dada
   
 9. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Prisila,fill the blanks:
  Kuwadi ni.................
  JF ilikupatia kazi ya........
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,129
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  duuuuh
   
 11. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Mwenye macho haambiwi tazama! Mpaka mtafuniwe ? Pricila walete na wengine na namba zao kama kawa.
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Nimeamini, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!! Yaani kama nawe ungeomba kihuni hivyo ndo ungepata hiyo kazi?!
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Anatafuta kazi ambayo haiitaji uwe na cv ,yaani kazi ya kulala chali na kutoa v.
   
 14. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yuko upande gani mwa Tanzania, ni kule uwanaja wa fisi,buguruni kwa dogodogo,ambiansi bei mbaya au kinondoni paleeee! Hongera kwa ubunifu dada.
   
 15. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tehe tehe, Msalimie huyo Mwanaidi. Kazi kashapata humu wadau wa mambo hayo wengi.
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Na yeye anataka kazi ya kupigiwa simu?
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vip na wewe ulianika namba yako hivi?na wasiwasi na ajira ulivoipata.
   
Loading...