Jamiiforum fantasy league | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamiiforum fantasy league

Discussion in 'Entertainment' started by Oxlade-Chamberlain, Jul 18, 2009.

 1. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Waheshimiwa wenzangu wapenda kandanda la uingereza ligi ndio hiooo inanukia.kwa vile kuna washabiki wengi humu wa kandanda nimeona vizuri kuanzisha fantasy league yetu hili kuangalia uwezo wetu sisi washabiki humu ndani na pia kutuchangamsha wakati ligi inaendelea.Ni vizuri wale watakaopenda kujiunga tutumie majina yetu ya humu jamiiforums hili tuweze kujua nani ni nani.kwa mfano timu yangu inaitwa (Arsene wenger 11) kwahio ni rahisi kufuatiliana matokeo yetu.
  Kwa wale watakao penda kujiunga nimefungua kupitia yahoo.
  website Fantasy Sports - Premier League Fantasy Football Game group letu litaitwa jamiiforum fantasy league na password ni tanzania.
  kwahio na wakaribisheni wote na kama kuna swali lolote tuulizane humu. group id # 696 password tanzania.
  asanteni sana.
   
  Last edited: Jul 18, 2009
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nimeweka link hapo kama inakataa google "uk yahoo socccer fantasy".
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wakubwa wa premier ligi mpo?
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wadau wa soka wamo humu?
   
 5. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu nilikuwa sijaiona hii, tutajiunga..Ila wengine tuko kwenye Foxsports EPL.
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  powa mkuu .ya foxsports unacheza hile ya kulipia sio? au manake nataka kujaribu msimu huu.
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbona password inakataa mkuu?
  Nimeweka tanzania inakataa kwanini?
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  samahani mkuu ilitakiwa kuwa capital t lakini unaweza sasa kutumia hio tanzania kwa herufi ndogo.
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kama ikikataa kujoin group click kwenye team manager alafu join group manake naona bei za wachezaji hawaja badirisha bado ziko za mwaka jana ni vizuri kusubiri last minute kucreate timu yako.
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wiki tatu zimebaki ligi kuanza .group id 696 password tanzania.link hiko juu kule.karibu wazee wakandanda wote.
   
 11. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeshajiunga Hatarious XI, ila bado sijanunua wachezaji.
   
 12. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  powa mkuu ,mie mwenye bado sijanunua wachezaji nasubiri tarehe 14 august.unaweza kuwastua wengine pia.
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  naona ferguson ana usongo kinoma na man city hahaha.
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nini future ya usajili uingereza kulingana na hali ya uchumi ukilinganisha na bei za wachezaji?
   
Loading...