Jamii za kifugaji wana maana kuendelea na hii kitu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
Ni hi tabia ya KUMILIKI ngombe zaidi ya ELFU na bado anaishi maishi ya kimaskini. Anashindwa nini kuuza ngombe ishirini apige hatua hata kidogo.. Hii fikra ya kuwa na ma ngombe haupunguzi na wanazidi kuzaliana.. Hasa wasukuma na wamasai. Kwanini hii kitu ni utamaduni au ni ujinga ni. Nimesikia masimulizi kwamba wale mifugo ni yana uchawi fulani. Kamba wa nachotaka wafugaji ni kuona anakuwa na mifugo mingi.. Sikutaka kuamini kama kuna mambo ya uchawi kwenye ufugaji.wapo wanaofuga ngombe wengi na wanauza biashara Ila wapo Hawa wanaofuga kama Sifa na huku familia zao zinaishi maisha mabovu. Mtu Ana ngombe 700. Anashindwa kuuza MIA aboreshe kidogo. Hii mentaliti waondolewe vichwani utamaduni WA zamani Sana Kwa mataifa ya kiafrika yenye jamii za wafugaji
 
Hapo ndiyo wananiacha hoi kabisa hawa jamaa mifugo zaidi
2000 maisha wanayoishi ni sawa
Na mifugo yao
Unaweza kutamani ungekuwa wewe unamiliki wote. Watch kule kijijini akijitahid amenunua solar ndo kaishia hapo kwenye maendeleo.
 
Back
Top Bottom