green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,303
- 35,849
Katika harakati zangu za utaftaji nimetembea sehemu tofauti na kuishi na jamii mbalimbali. Jambo nililojufunza jamii ya kitanzania imestaaribika sana tuna ubinaadamu sana tofauti na jamii zingine, huezi amini leo hii ukiwa maeneo kama Visiwa Pemba, Chakechake au Unguja ukipoteza au kudondosha kitu chochote huokotwa na baadae hutangazwa Radio Zanzibar ili mwenyewe akipata taarifa akachukue.
Hii nitofauti na mataifa yaliyotuzunguka ambayo jamii zao zimekaa kibepari sana hawana uungwana hawatoi msaada bila malipo lakini. Leo hii we nenda popote Tanzania hata kama huna ndugu utapata chochote unahitaji bila kua na hofu yoyote lakini asilimia kubwa ya watanzania hawajui hili wanafikiri Nchi zote wanaishi kama wao na kudharau hii hali tushukuru Mungu.
Nchi yetu imebarikiwa sana ardhi nzuri ya kutosha maji mengi amani tofauti na Nchi nyingine zinazokabiliwa majanga kama jangwa vita hamna amani ya uhakika njaa na nk. tuipende Nchi yetu.
Nawatakia weekend njema.