Jamii ya kimataifa yamtaka Kabila kujiuzulu

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
_93064509_kabila2.jpg
Wanajamvi.
Salaam.
Jumuiya za kimataifa zamtaka Rais Kabila ajiuzulu.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila anazidi kupokea shinikizo kimataifa kutokana na hatua ya kukataa kuachia maamlaka baada ya muhula wake wa kikatiba kukamilika jumatatu.

Ufaransa imesema itatuma ombi kwa umoja wa ulaya la kumwekea vikwazo iwapo ataendelea kushikilia maamlaka.

Watu 20 wauawa katika maandamano DR Congo

Hali ya utulivu yerejea nchini DR Congo

Baraza jipya la mawaziri latangazwa DR Congo

Ujerumani imehairisha majadiliano ya kuipa DR Congo msaada wa miradi ya maendeleo.

_93068937_drcongo.jpg

Image captionMaafisa wa usalama wakikabiliana na maandamano nchini DR Congo
Inaripotiwa kwamba utulivu umerejea nchini humo baada ya kushuhudiwa machafuko Jumatano, ambapo kulingana na Umoja wa Mataifa, takriban watu 20 waliuwawa.

Uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika mwaka huu, uliharishwa hadi mwaka 2018

Chanzo: BBC SWAHILI
 
Issue ya zanzibar nayo yafutuka, soon mutayasikia kama haya
Msiwe mnatamani nchi yetu kuingia kwenye shida kwa mapenzi yasiyo na tija,Zanzibar kumekua kama Congo toka lini?Congo inajulikana toka enzi hzo mpaka leo,why tuilinganishe na Tanzania yetu yenye AMANI
 
Viongozi wa africa ni majanga matupu,wanajifanya wanapigania amani, halafu wanaigeuka amani kwa kuivuruga.
 
Msiwe mnatamani nchi yetu kuingia kwenye shida kwa mapenzi yasiyo na tija,Zanzibar kumekua kama Congo toka lini?Congo inajulikana toka enzi hzo mpaka leo,why tuilinganishe na Tanzania yetu yenye AMANI
Sema Tanzania ya utulivu sio ya amani.There's no such thing kwasasa
 
Nchi zenye Maslai hizo... Naanza kuamini Uraisi ni Mtamu na sio tunavyoaminishwa kuwa Ikulu sio pahali pa kukimbilia... kama Kubaya mbona hawataki kutoka...
 
Some African's reader is poor thinker!

So when you was presdent for ten old years but you havent a Achievements, what is next for twoo years only?

Jamani jamani jamani......hizi lugha za wenzetu ngumu....

...you havent a achievements!!??

...what is next for twoo years only!!??

...some african readers is poor thinkers!!??

...so when you was a president for ten old years!!??

Lol!...ningekuwa mimi ili nieleweke vyema ningeandika kwa lugha ya kwetu tu, kudadeki na potelea mbali wanione tu kuwa sikifahamu kiinglishi.....kwani shida iko wapi bhana!??
 
Msiwe mnatamani nchi yetu kuingia kwenye shida kwa mapenzi yasiyo na tija,Zanzibar kumekua kama Congo toka lini?Congo inajulikana toka enzi hzo mpaka leo,why tuilinganishe na Tanzania yetu yenye AMANI
Kwa sababu uchaguzi wa October zanzibar ulikuwa halali na huru
 
Jamani jamani jamani......hizi lugha za wenzetu ngumu....

...you havent a achievements!!??

...what is next for twoo years only!!??

...some african readers is poor thinkers!!??

...so when you was a president for ten old years!!??

Lol!...ningekuwa mimi ili nieleweke vyema ningeandika kwa lugha ya kwetu tu, kudadeki na potelea mbali wanione tu kuwa sikifahamu kiinglishi.....kwani shida iko wapi bhana!??
basi nimefuta, futa na wewe, hapo uliponi...
sa kama mtukufu mwrnyewe hajui ni ajabu kwa mwingine kutojua?
nilikuwa natest
 
basi nimefuta, futa na wewe, hapo uliponi...
sa kama mtukufu mwrnyewe hajui ni ajabu kwa mwingine kutojua?
nilikuwa natest

No, huhitaji kufuta mkuu.

Nilikuwa najaribu tu kukuonesha kuwa, kuna tatizo la kisarufi ktk uundaji wa sentensi kwa lugha uliyotumia.

Niwie radhi tu kama nimekosea namna ya kukukosoa.

Na zaidi sana nikupongeze kwa kuonesha ujasiri mkubwa wa kutumia lugha ya kiingereza ktk namna ya kujifunza bila kujali kama unakosea ama la!!

Kwa sbb as instructor, naamini hili, kwamba, making mistakes, is part of learning......

Kama umegundua makosa ktk sentensi zako, then, yarekebebishe tu.....naamini utaeleweka bila shida!
 
Jamani jamani jamani......hizi lugha za wenzetu ngumu....

...you havent a achievements!!??

...what is next for twoo years only!!??

...some african readers is poor thinkers!!??

...so when you was a president for ten old years!!??

Lol!...ningekuwa mimi ili nieleweke vyema ningeandika kwa lugha ya kwetu tu, kudadeki na potelea mbali wanione tu kuwa sikifahamu kiinglishi.....kwani shida iko wapi bhana!??
Lugha za wenyewe jamaa kajaribu ah ah ah ah
 
afrika kwanini kila siku ni sisi?

wengine watawaza labda sababu ni kuwa(japo kwa upeo wao wanaona wako sahihi) nchi nyingi za afrika zilipata uhuru miaka ya 1950+ na 1960+ ,ila ukweli utabaki kuwa pale pale wakati watawala wanadhani tuko nao katika fikra na misingi wanayoifikiria na ukweli ni kuwa watu ni waelewa kuliko hata hao watawala ila tunapishana barabarani sababu ya mfumo unaotumia kutokujua(ujinga) kwa baadhi ya wananchi kama mtaji .
 
Jamani jamani jamani......hizi lugha za wenzetu ngumu....

...you havent a achievements!!??

...what is next for twoo years only!!??

...some african readers is poor thinkers!!??

...so when you was a president for ten old years!!??

Lol!...ningekuwa mimi ili nieleweke vyema ningeandika kwa lugha ya kwetu tu, kudadeki na potelea mbali wanione tu kuwa sikifahamu kiinglishi.....kwani shida iko wapi bhana!??
Hahaa....yaan..ni hatari........mie mswahili napenda kiswahili.....hahaha
 
Back
Top Bottom