Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,298
- 2,000
Leo tutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Club hapa kiotani:

Mkuu,, utaratibu uliotumika kumpata Mhazini utumike kuwapata hao wengine wote..
Napendekeza
Ni social club bwana sio club ya pombe! Au umeshtuka hizo stuli ndefu mzee?We acha tu, kwanza club ya nini? wengine hatutaki CLUB tunataka BAR, na kunawengine watatka KANISA na MSIKITI!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us