JAMII LEO: Wakurugenzi wa NSSF, Mt Kilimanjaro upo Kenya? Kudukua simu ya mwenza...

JamiiForums

Official JF Response
Nov 9, 2006
6,107
2,000
Habari, mkasa na hoja zilizosomwa kwenye Jamii Leo Jumanne Julai 19, 2016 ni pamoja na;

1. Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi
- Habari iliyoanzishwa na Mdau wetu wakuwaza

2. Dunia inajua Mlima Kilimanjaro upo Kenya, Serikali ya Tanzania iko wapi?
- Hoja ya mdau wetu SYLLOGIST!

3. Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi..
Mkasa ulioletwa na mdau wetu msikivuTz

- MwanaJF, sasa unayo fursa ya kupendekeza mada, hoja, mkasa au habari nyeti ambayo ipo JF na ungependa isomwe kesho au siku zinazofuata.

Usikose kutazama na kushare video hii kutoka JamiiForums uwahabarishe na wengine!

Subscribe kwenye Channel yetu ya YouTube ili kupata kujua yaliyojadiliwa sana kwenye mtandao wako pendwa wa JamiiForums kwa siku nzima, kila siku.


YouTube Channel: @JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom