JAMII LEO: Mijadala kutoka JamiiForums Ijumaa I5, Julai 2016 - (Video)

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,227
5,270
Kama ilivyo ada, leo tunawaletea tena mkusanyiko wa mada zilizopewa uzito na kusomwa kwenye Jamii Video.

Hoja 3 zilizoangaziwa leo ni pamoja na;

1. Bango la Mwizi Mkenya Mlimani City ni ubaguzi, udhalilishaji.. - Hoja ya Pasco

2. Nywele Bandia: Je, ni mvuto au kudharau Uafrika? - Hoja ya Poise

3. Nini kifanyike kunusuru mpira wetu Tanzania? - Hoja ya moodykabwe



Subscribe kwenye YouTube Channel ya @ JamiiForums kuweza kupata videos za kila kinachojiri kila siku.
 
Kudos JF's revolution! Hope this is going to get too far..

Muongeze muda wa kipindi ni mfupi sana.. Nice work..
 
Back
Top Bottom